
Hi.
One day my teacher told us to write our diary in Kiswahili. Actually she tells us to do it from time to time. Please have a look my diarly in Swahili. I translated it into English below.
(The photo: Tsurugajo Castle in Aizuwakamatsu. I went there this weekend by train from the training center. It was the first time to take a train since the training had started. It took about two hours from the training center which is on the mountain. )
(Swahili)
Alhamisi tarehe moja, mwezi wa tano, mwaka elfu mbili na nane
Kuna jua leo. Niliamka saa kumi na mbili. Halafu nilinawa uso na nilipiga mswaki saa kumi na mbili na dakika tano. Kabla ya kula, nilijipodoa. Kisha nilikwenda kula chakula cha asubuhi baada ya kufanya mazoezi ya riadha. Leo kuna shuguhuli za namna za pekee. Mimi pamojya na watu watano tuliondoka NTC saa mbili na robo na tulikwenda Day Service Centre Nihonmatsu kwa teksi kubwa. Tulifika Day Service Centre saa mbili na nusu. Mfanyakazi wa Centre alitueleza kufusu ratiba ya leo. Wazee wana matatizo ya kufanya vitu mbalimbali. Kwa hivyo tuliwasaidia wazee, wakisogea, wakila, wakioga na kadhalika. Wazee walikula chakula cha mchana saa sita, kwa hivyo tuliwasaidia wakati ule. Halafu sisi pamoja na wazee tulitazama video. Wazee walirudi nyumbani saa tisa na nusu. Baadaye tulisafisha chumbani. Kisha teksi kubwa ilikuja na tulipanda teksi saa kumi na dakika kumi. Tulifika NTC saa kumi na nusu. Kisha nililala kabla ya kula chakula cha usiku. Halafu nilioga saa moja. Baadaye nilijifunza Kiswahili na niliandika shajara.
May 1st, 2008, Friday It is sunny.
I got up at six. Then I washed my face and brushed my teeth at six ten. Before eating breakfast, I made myself up. Then I went to have breakfast after doing exercise. Today I had a special activity. Five others and I left the training center called NTC at quarter past eight and went to Day Service Center Nihonmatsu by big taxi. We arrived at the Day Service Centre Nihonmatsu at half past eight. A staff explained us about the schedule of the day. Elderly people have difficulties to do anything, so we helped or supported them when they move, eat, take a bath and so on. The elderly ate lunch at twelve o’clock, so we helped them then. Then the elderly and we watched video together. The old people went home at half past three. After that, we cleaned the room. Then a big taxi came and we got on the taxi at four ten. We arrived at NTC at half past four. Then I slept before eating supper. Then I took a bath at seven. Later I studied Kiswahili and I wrote my diary.